Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari wakuuu mko poa?
Naona kuna watu wanalia humu ajili ya kuachwa.
Halafu kuna mtu nimeona anajipendekeza kwa ukhuty wangu. ONYO.. Kama anataka nimfanye msukule wa kuswaga dagaa ziwani aeendelee.
Pages nyingi sana nimetoa like hadi kidole kimechoka pg 30!! Ur so awesome
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom