Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ahaaaaaaaaaah
Ahaaaaaaaaaah
stay tunedKama hakuna nyingine juu nakula hiyo hiyo!!![]()
![]()
![]()
Alafu waache usiingilieela moyoni la nan jaman me nimeongea kutokana na mapenzi anavyolazimisha
usifanye hivyo mkuu utakuja kulia na kusaza meno ingia moyo nusuNmkabidhi mwili wote dada shunie
Kama alivyosema Clkey usipokuwepo basi mapinduzi yanatokeahahahhah Nyagei
Mimi unafiki kwangu mwishooAhsante shem leo umeamka njema kweli
Umejuajeee??walikua zaman walishaachanaga clkey yupo na johnson
Mkuu upo!Tetea penzi lako usiwe kama sungura sizitaki mbichi hizi
Akomae tuila wiii kama mwanaume hakutaki achana nae tu mapenzi hayalazimishwi
we ukitaka kutenda tenda tu wanaume mnajijua wenyeweAlafu waache usiingiliee
Wewe ukitendewa hivo ??
hivi mbona haueleweki upo upande ganKama alivyosema Clkey usipokuwepo basi mapinduzi yanatokea
Pongezi kwa Lee hachezi mbali
Shunie kaa mbaliUna uhakika gani kama hanipendi?
AiiiiiseeeeeehNilkwambiaga hutoweza ukang'ang'ana kuvaa kiatu undersize
Shunie kaa mbali na mambo ya watuhakupendi si kama hivyo anaongea achana nae tu mapenzi ya kulazimisha mabaya sana
Wiii mbona umebeba bango hv
Unapata nn lbda kwa mfano
kaka mm nipo mita 200 kabisaShunie kaa mbali
Nisikilize: ukiibiwa simu au pesa utaacha kufuatili?Mtani wangu mambo