Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kama mwanaume lazima niwe na msimamo.


Kwa sasa hivi nipo na Sakayo na kila mtu anafahamu hapa..


Siwezi kumuacha sakayo hata kwa dawa..Moyo wangu uko kwa sakayo wala sitoacha kumpenda

Najua dhoruba kama hizi zipo ila nilizaliwaga na ngozi ngumu hata risasi ya 9mm haniingi..


Sakayo ni wangu! Wala hawezi kupata Transcend mwingine..

Sasa namalizia kazi za watu..

It will be okey soon..
Labda mwende mbinguni ila hapa hapa sahau hilo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom