Poa tuMtani wangu mambo
Utakufa sasa ukimpa woteNampa moyo wangu wote,
Asante kwa ushauri.ila nashindwa kuficha hisia zangu juu yakeusifanye hivyo mkuu utakuja kulia na kusaza meno ingia moyo nusu
Hivi Nyegei ndo paroko!sawa baba paroko
Daaaaaaaah umeniuaaaHallo,
Helena,
Lile,
Beberu,
Bora,
Chinja,
Na,
Ondoa,
Figo,
Nene,
Nani,
Mgeni,
Aliye,
Simama,
Pale,
Serengeti,
Club,
Arudi,
Kwao,
Canada
![]()
leo haina msaada wowote maishani, mungu anakuona mwalimu wa kemia
![]()
Hata kama ana mtu wake nipo tayari kua ,"spare tyre"usifanye hivyo mkuu utakuja kulia na kusaza meno ingia moyo nusu
Bora umemwambiaaShunie kaa mbali na mambo ya watu
Aise jina lako nataka kulitamka nimeshindwaWw hujawa Transcend aiseee
Nakuona unataka kukamatia fursa?
ingiza moyo wote ufe kabisaAsante kwa ushauri.ila nashindwa kuficha hisia zangu juu yake
Aiseee haya mahaba sijawahi onaHata kama ana mtu wake nipo tayari kua ,"spare tyre"
ufe tu mkuuShunie wewe haunitakii heli hata kidogo....
Nikifa dhambi yako hiyo
Sema yako ya moyoniJamani zamu yangu halafu bado Giza!!![]()
![]()
![]()
anaelekea hukoHivi Nyegei ndo paroko!
Mkuu nilikomaaa sana kuimeza sasa imebaki history!!Daaaaaaaah umeniuaaa
Mbona mmemanisha sana!!!we ukitaka kutenda tenda tu wanaume mnajijua wenyewe