Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Nataka nibariki ndoa zenuWewe unafanya nini kwani?
Nataka nibariki ndoa zenuWewe unafanya nini kwani?
Una uhakika gani kama hanipendi?ila wiii kama mwanaume hakutaki achana nae tu mapenzi hayalazimishwi
hakupendi si kama hivyo anaongea achana nae tu mapenzi ya kulazimisha mabaya sanaUna uhakika gani kama hanipendi?
Wiii mbona umebeba bango hvnilichoona analazimisha mapenzi dada hatakiwi
sipati chochote wiiiii ila mapenzi ya kulazimisha mabaya sanaWiii mbona umebeba bango hv
Unapata nn lbda kwa mfano
Mwenzenu moyo umedondoka kwa kiumbe mmoja anaitwa ukhuty..ukhuty my I love you
Tutakutana kwenye nyuzi zingine huko!! Have a great life with your lovely C

Clkey am dating Sakayo now..!Usinivuruge shemela ujue
Johnson alinyanganywaa kitambohapana aisee mm sijui ndio nashangaa hapa najuaga clkey n wa johnson na mzee wa makamo anafukuzia
I don't think so!!!nilichoona analazimisha mapenzi dada hatakiwi
ila ww n mbaya hivi unapata faida gani lknJohnson alinyanganywaa kitambo
Mwambie aseme anataniaMimi na Clkey ni shemeji baada ya kuachana...
Sasa Sakayo mtu anatania tuu afu anachukulia serious...
Kwendaa zakoooLeee
Hii kesi haikuhusu kaa kimya..
hahahhah Nyagei![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Naiona boti ya Mondray inakumbwa na dhoruba
Sina moyo wa hivyoTetea penzi lako usiwe kama sungura sizitaki mbichi hizi
Tunamteteaa clkeyJamani naomba kila mtu akae kimyaaaaaa
Mimi ndo naongea na Sakayo tuu...
Niko makiniiii![]()
![]()
mzee mkavu harakat zako nazifyatilia
Hebu nawe si ulie ili arudishe moyo nyuma lia lia lia lia lia nasema lia atarudi tuWeeeeeee!
Don't such an easy person !
Unakosea sana Sakayo ..! Hayo wanayosema yalikuwa ya nyuma
You came to my life after thats..
Hakuna wa kukutoa hapa...!
Hamna tabu, am out of here for goodTunamteteaa clkey