Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
walikua zaman walishaachanaga clkey yupo na johnsonWewe ndo mbaya kujifanya hujui clkey kuwa wa t
walikua zaman walishaachanaga clkey yupo na johnsonWewe ndo mbaya kujifanya hujui clkey kuwa wa t
Y!T, please!!!
Unazidi kuniumiza
Mengi tu, ila ni zamu ya mkubhi sasa
Komaa mtani aniachie yuleMm naww hatujawah kuachana
Kweliìi kabisaaaShemela huyu mkeo leo ana lake jambo sio bure
wapo kwenye foleni haohahahahaha mkuu umenichekesha kweli
Muachee sasaaila wiii we kiboko aisee me kulazimisha mapenzi wkt sitakiwi mm siwezi
Kama hakuna nyingine juu nakula hiyo hiyo!!

Nilkwambiaga hutoweza ukang'ang'ana kuvaa kiatu undersizePlease
Sitakiiii kumuumiza huyo mremboooo wako
Nmkabidhi mwili wote dada shunieaisee mapenzi ya wapi hayo moyo wote unampa
Ww hujawa Transcend aiseeehuo huo wiii wa kupenda usipopendwa
Kuibariki siku ya jumamosiKuanza nayo kwenye nini
AhaaaaaaaaahSikuvurugi shem
Transcend ameshasema kwako alishafunga kurasa
Best way ni kujiunga tu na utumishi wa bwana kama mimi
Mtani wangu mamboNilkwambiaga hutoweza ukang'ang'ana kuvaa kiatu undersize
Jamani zamu yangu halafu bado Giza!!Mengi tu, ila ni zamu ya mkubhi sasa

sawa baba parokoMengi tu, ila ni zamu ya mkubhi sasa
Atakuwa mtawaawe padre wa kike![]()