Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Nasikia huyu mchungaji mwenyewe ana mapepo.Kumbeeeee!!
Nasikia huyu mchungaji mwenyewe ana mapepo.Kumbeeeee!!
Kila la kheriNafurahi kusikia hivyo, yule lizziebettie nataka nisimame kama yule Jamaa mwenye hela kwenye ule wimbo wa rubi wa nivumilie na Th Name awe Baraka the prince![]()
Mbali nakusikia, mimi nimedhibitisha kuwa anatumia nguvu nyeusi na pepo wa kukataliwa ..Nasikia huyu mchungaji mwenyewe ana mapepo.
Ndiyo maana ndoa yangu ilipata misukosuko baada ya huyu mchungaji feki kutuombea.Mbali nakusikia, mimi nimedhibitisha kuwa anatumia nguvu nyeusi na pepo wa kukataliwa ..
Cc Th NameNafurahi kusikia hivyo, yule lizziebettie nataka nisimame kama yule Jamaa mwenye hela kwenye ule wimbo wa rubi wa nivumilie na Th Name awe Baraka the prince![]()
Tushachoka na hizi habari bana mara psg mara arsenal mara man united tushike lipi sasa![]()
![]()
![]()
Domourinho
................
Poa mamboHabari za jioni dears
Mambo ya kawaida tu Hayo. Usiogope kijana
Shem fumba macho, coz Me yaliyomo yamo.Inaonesha wewe ni mtaalam sanaaa wa kuchepuka

Wapi nikusindikizeAhhh hata sijui kesho nitaenda hospital
Mistari yenyewe ya kulia lia ataambulia nyota tuKama mistari yenyewe ndiyo hii aisee utasubiri sana.
Duh.Oyooooooooooooo
Hapo kibuti lazima.Mistari yenyewe ya kulia lia ataambulia nyota tu
Hebu jinyooshe, halafu lete ushuhuda kilicho tokeaAmeeeen mtumishi. Napokea uponyaji kwa jina la Yesu.
Yeye nichawi, nguvu yake na yangu hazipataniKwanini akuogope?