Pole sana mkuu,nakuombea upone haraka.Yaani naumwa umwa tu siku nzima nimeshinda job hovyo Sana.
Hahaha mkuu kivp!toka uingie humu vijana wamekuwa wanaachwa badala ya kuacha.
Kwanini akuogope?Mshana jr anaogopa kuja labda niondoke humu
Nakumbuka ilikuwa jumamosi iliyopita, kuna ujumbe mzuri uliandika kwa thread hii inaelezea kuhusu maisha.Sorry may be tunatumia application tofauti because hapa mimi niko page ya 1518![]()
Ukakasi wake ndo raha yake ucjaliBasi mimi nitakuita Jan Bill, Jambilo nasikia ukakasi kukuita.
Asante sana,AmeenPole sana mkuu,nakuombea upone haraka.
Agyyjay atakuja acha hofu
Maombi hayajakusaidia au imani habaYaani naumwa umwa tu siku nzima nimeshinda job hovyo Sana.
Poa usijali mkuu,akiingia tu utasikia harufu ya ubani.Mkuu mshana jr akija uniambie.
Nakumbuka ilikuwa jumamosi iliyopita, kuna ujumbe mzuri uliandika kwa thread hii inaelezea kuhusu maisha.
duh!!! Uko mbali hivyo!!!Leo yamemkuta.Agyyjay atakuja acha hofu
Ohoo we mwambie mshana jr..jambilo anakuja, atakimbia balaaAnakuogopa wewe?
Mkuu kwani maombi yanachukua mda gani mpaka yaanze kufanya kazi!Maombi hayajakusaidia au imani haba
Yanasaidia,nina ImaniMaombi hayajakusaidia au imani haba
Pole mamy...Mungu wetu wa mbinguni akupe uzima teleAsante sana,Ameen
Ameen ,Asante sanaPole mamy...Mungu wetu wa mbinguni akupe uzima tele
Yaani acha kabisa sijui huyo aliyeanza aliwaza niniAisee hawa jamaa wamechizika.