Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahaaaa Patience123 yuko kipesa zaidi

Tafadhar usimuache bana...huyo mtafutaji hamtakufa njaa
Ikiwa kunguru na ndege wengine wasio lima wala kutafuta pesa wanaishi, si zaidi mimi ninayemtumikia Mungu kuwa yeye atanitunza? Nikiwatumikia kwa moyo na mkapona shida zenu si Mungu atawapa pesa mnitunze bila hata kuwaomba?
Nashangaa watumishi wenzangu wanaomba pesa washirika kwa m pesa na akaunti za bank, ukimlisha ng'ombe lazima unywe maziwa yake..hivyo siogopi shemu. Atabaki kuwa mshirika tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom