Labda alikuwa hajajua kwamba kitu kimeshuka.Yaani acha kabisa sijui huyo aliyeanza aliwaza nini
Acha hizo, peace manKamjibu vipi tena. Maana yule jamaa ni mvurugaji tu

People for peaceAcha hizo, peace man![]()
Kosa moja halifukuzi mke baba mtumishi,tasavali sweetie..Ninakupenda sana na ntaendelea kukupenda lakini navunja rasmi ule uhusiano wetu kwa lile kosa la kuharibu kazi yangu, sawa
Mkuu huhitaji mkopo?Nimeiona hiyo. Hata Jana alijifanya ana pesa ili ampe baby wangu. Akajibiwa hizo hela zako peleka kijijini kwenu wana shida sana

mbona ipo wazi mkuu, siku tatu nyuma ulitawala jukwaa na tulishuhudia vijana wetu wakipitia wakati mgumu (dilema) Kwa kukimbiwa na wenzi wao bila taarifa. kila unayemwombea anakutana na majanga ya kukimbiwa bila sbb ...Hahaha mkuu kivp!
SihitajiMkuu huhitaji mkopo?![]()
![]()
Mimi pia huyu mchungaji simuamini kabisa.mbona ipo wazi mkuu, siku tatu nyuma ulitawala jukwaa na tulishuhudia vijana wetu wakipitia wakati mgumu (dilema) Kwa kukimbiwa na wenzi wao bila taarifa. kila unayemwombea anakutana na majanga ya kukimbiwa bila sbb ...
HahaaaaKosa moja halifukuzi mke baba mtumishi,tasavali sweetie..
Nafurahi kusikia hivyo, yule lizziebettie nataka nisimame kama yule Jamaa mwenye hela kwenye ule wimbo wa rubi wa nivumilie na Th Name awe Baraka the prince

Huyu atakuwa anagawa mapepo badala ya kuyatoa.
Kumbeeeee!!
Mie simoNafurahi kusikia hivyo, yule lizziebettie nataka nisimame kama yule Jamaa mwenye hela kwenye ule wimbo wa rubi wa nivumilie na Th Name awe Baraka the prince![]()

Th Name njoo uone dharau za wenye pesa.Nafurahi kusikia hivyo, yule lizziebettie nataka nisimame kama yule Jamaa mwenye hela kwenye ule wimbo wa rubi wa nivumilie na Th Name awe Baraka the prince![]()
Ndio wanaenda maombi hata wewe waweza kwenda kupokea muujizaKumbeeeee!!