EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,115
- 25,414
Nifanyeje sasa Mkuu?Mkuu utakuwa umeibiwa.
Nifanyeje sasa Mkuu?Mkuu utakuwa umeibiwa.
Jamani mpenzi, unataka dada aniseme sasa???Bora umwambie wewe sister,maana naona hajui ni kiasi gani ninateseka anavyokiwa hayupo.
Naona unaonyesha kichwa hatimaye mwili mzima wakuone ee!poleni kwa kuachwa ....
Salama kabisa Dada. Za kwako?Habari za jioni dears
Hahaaaa Patience123 yuko kipesa zaidiShem nina habari mbaya, kuanzia mda huu mimi na patience123 tutabaki marafiki wa kawaida, ananiharibia huduma, anatoza watu wenye shida pesa na lengo lake kuwakatisha tamaa wanawake wasije kupata maombi, ana wivu sana bora nibaki kama paulo
una jingine?Naona unaonyesha kichwa hatimaye mwili mzima wakuone ee!
Kati ya page ya 566 ama 567.Niliona notification, nilipofungua net ikazingua nikaupoteza!!! Niambie upo post namba ngapi niufate please
Oooh nakuona dadaHabari za jioni dears
Sema tu mkuu watakjsikiauna jingine?
Mimi Leo siko poa sana mwili hauna ushirikiano nami.Salama kabisa Dada. Za kwako?
Aisee hata sielewi, labda tumsubiri mkuu mshana jr aje afanye mambo yake.Nifanyeje sasa Mkuu?
Sorry may be tunatumia application tofauti because hapa mimi niko page ya 1518Kati ya page ya 566 ama 567.

Hapa dear..for you.Uko wapi?
Nini tatizo tena? Pole sanaMimi Leo siko poa sana mwili hauna ushirikiano nami.
Ahhh hata sijui kesho nitaenda hospitalNini tatizo tena? Pole sana