Makapuku Forum

Wakuu hope nyote mnaendelea vizuri ,nimewamisi kiukweli ila soon tutakuwa wote nimebahatisha mtandao kidogo hapa ikakubali kuwasha E

My baby Shunie najua u always on my back but nakumis kiukweli ule ukorofi wako na 'kupanic'



Ila nina mashaka na kamati yangu kama wanafanya kazi


Niulizee jamani Baba mchungaji ashajulikana officially make post zote nimeskip japo inanipa wasiwas kwa wabaya wangu kwa shunie


Mr T and sakayo nawamis

Kisheti ,pimbi,mwekagazina na mzee mkavu souudy vip mshapata wenzenu au mnasumbua wake za watu


nina dk 15
 
Asante mume wangu kwa kututia moyo


Penda wewe sana
 
Tunakumiss mnoo shemela, mie nalinda tu kimya kimya ondoa shaka
 
Tuko pamoja jux wivu.
Mm nishapata wangu sijui wengine.
Baba mchungaji hajajulikana.
Tunaanzisha mgomo wa kutochat humu mpaka atajwe...ila pimbi hali yake sio nzuri kivile
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…