Mimi mwenyewe naona sister.Kaka nipo katika mikono salama
Karibu mpenzi wangu, I love u too..Asante lovely husband
Love you sanaa![]()
![]()
![]()
![]()
Shemeji yangu lizziebettie kama upo karibu pita upande huu kuna ishu ya ku-discuss hapa..
Kaka ishu gani tena?Shemeji yangu lizziebettie kama upo karibu pita upande huu kuna ishu ya ku-discuss hapa..
Bora umwambie wewe sister,maana naona hajui ni kiasi gani ninateseka anavyokiwa hayupo.Hongera ,,Nahrene mdogo angu usirudie kukimbia tena... Unamtesa mwezio et
Amen mtumishiUmemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..
Na ndiyo maana nikamwita hapa sebuleni mkuu wacha aje na mjadala utaanza tu...Kaka ishu gani tena?
Ngoja tumsubiri hapaNa ndiyo maana nikamwita hapa sebuleni mkuu wacha aje na mjadala utaanza tu...
Jimena hebu njoo huku nina neno la kuteta nawesema nae mkuu poa tu ntamtunza
Kabisa ndugu yangu na wewe utachagua kuwa msikilizaji ama utaweza kuchangia tu na kadiri discussion itakvyokuwa inaendelea utapata jambo hapo..Shemeji yangu lizziebettie unahitaji hapa tafadhali..
poleni kwa kuachwa ....Huyu nae kashaachwa kama sumbai
Niliona notification, nilipofungua net ikazingua nikaupoteza!!! Niambie upo post namba ngapi niufate pleaseMkuu, hujapata ujumbe wangu?
Shem nina habari mbaya, kuanzia mda huu mimi na patience123 tutabaki marafiki wa kawaida, ananiharibia huduma, anatoza watu wenye shida pesa na lengo lake kuwakatisha tamaa wanawake wasije kupata maombi, ana wivu sana bora nibaki kama pauloShem merudi
Ila umeniacha njia panda lakini kakaKabisa ndugu yangu na wewe utachagua kuwa msikilizaji ama utaweza kuchangia tu na kadiri discussion itakvyokuwa inaendelea utapata jambo hapo..Shemeji yangu lizziebettie unahitaji hapa tafadhali..