Anataka kula kuku na yai lake..
Ashindwe na alegee
Umemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..
Umemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..
Wote umewakosa sasajamani si mmoja tu
Occupiedjamani si mmoja tu
Mpenzi wangu nikupendaye sana kwanza pole na majukumu yako ya siku ya leo wakt unajipumzisha nikupe mstari huu kutoka kwa 2Timotheo 2:22 nayo unasema.."Lakini zikimbie tamaa za ujanani ukafuate haki na imani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi."Anataka kula kuku na yai lake..
Ashindwe na alegee
Poa karibu ndugu.Asante kaka braza
Niko poa kabisa bro
Thanks alotPoa karibu ndugu.
Amen baby...Mpenzi wangu nikupendaye sana kwanza pole na majukumu yako ya siku ya leo wakt unajipumzisha nikupe mstari huu kutoka kwa 2Timotheo 2:22 nayo unasema.."Lakini zikimbie tamaa za ujanani ukafuate haki na imani pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi."

Mke wangu kipenzi kwanza mimi nimeshinda salama kabisa..Hofu yangu ilikuwa kwako faraja ya moyo wangu..Je wewe uko poa?Umeshindaje baba angu??
Kaz niadje???(kwa sauti ya milimani)
Mie niko vizuri mbeeMke wangu kipenzi kwanza mimi nimeshinda salama kabisa..Hofu yangu ilikuwa kwako faraja ya moyo wangu..Je wewe uko poa?
Nzuri tu dada yangu kipenzi. Siku yako imeendaje??Habari ya jion wapendwa??
Imeenda vizur sana yan was amazing na full happy from mornie had keshooooNzuri tu dada yangu kipenzi. Siku yako imeendaje??