ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,104
Ameachwa.Mbona mmemuandama Peter?
Ameachwa.Mbona mmemuandama Peter?
Kwani kasema??Ameachwa.
Anataka kuharibu karama..mimi nimeweka.kiwango ili wadada mshindwe kuja kwa baba mtumishi...ona sasa..acha nibuni mbinu ingine..naona hii imefeliAmeahidi kunifanyia huduma bureee[emoji4]
Anaonekana tu ametendwa,maana ameingia huku anaimba na nyimbo za kuachwa.Kwani kasema??
Kaenda wapi vile?Yani hapa ndiyo napata kifungua kinywa,si unajua shemeji yako hayupo?
Nipo hapaKaenda wapi vile?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hamna mkuu naimba tu, kuna tatizo kwani?
Ni nani anataka nikuache honey?Baby usiniache tena mwenyewe,kuna watu humu walisema eti nikuache.
Kijana anaficha ugonjwa.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sema kijana ili usaidiwe.
Huyu bwana mdogo anaitwa sumbaiNi nani anataka nikuache honey?
Huyu nae kashaachwa kama sumbai[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sema kijana ili usaidiwe.