Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Yaaaan bhinamu umenikosha bill nakunyanganya zamu yako lakini nalipa mm bhinamu..ndiyo ni sumu na hawajawahi kukataza kuonja sumu, wanakataza kunywa, nisahihishwe kama nimekosea
Mjomba, hii maneno yasiwe mjadala wa kikao mkakati cha leo
Utaakikishaje kama ni sumu pasipo kuonjaa
tunataka tumjue baba mchchu


