Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
hiko kikao huwa mnaongea nn naomba na mm niwepoBhinamu kikao chetu
hiko kikao huwa mnaongea nn naomba na mm niwepoBhinamu kikao chetu
et mnasemaga ukiwa na maziwa ni mtamuMke wa mtu sumu
Nimemkaushia mm nisije sutwa miehaeleweki kwa mama mchuchu au kwa malkia atulie sehem moja
hahahhahah kumbe ndio zenupole haitoshi, Livi anauza mechi huko alipo...simpigi majungu just nakuambia ukweli tu
..ndiyo ni sumu na hawajawahi kukataza kuonja sumu, wanakataza kunywa, nisahihishwe kama nimekoseaMke wa mtu sumu
tunakupenda pia mama mchungaji wetu [emoji8] tunataka tumjue baba mchchuNawapenda sanaaaa
hahahhahahNimemkaushia mm nisije sutwa mie
Nafunga kwaresma hii kwaajili yako ili jina lipiteApewe muda msimsurutishe, ha hahahahah, hadi apate maono ndo atataja, who knows aweza nitaja mimi
haeleweki kwa mama mchuchu au kwa malkia atulie sehem moja
Livi kitu ganii[emoji23][emoji23][emoji23]polee wee! Mie wa livi peke yake
Ukweliii kabisapole haitoshi, Livi anauza mechi huko alipo...simpigi majungu just nakuambia ukweli tu
Hahahaa hamuwaamini waume zenu?Unaeza kuta ni mmoja wa waume zetu jamani[emoji85][emoji85][emoji85]....mama mchuchu plz tuweke wazi
[emoji15][emoji15]moyo wa chuma sinaapole haitoshi, Livi anauza mechi huko alipo...simpigi majungu just nakuambia ukweli tu
Akijibu ifuteehahahhah ukimaanisha malkia
Mmeanza kufananahahahhah ukimaanisha malkia
Nafunga kwaresma hii kwaajili yako ili jina lipite
Anaweza akakufikiliamoooooApewe muda msimsurutishe, ha hahahahah, hadi apate maono ndo atataja, who knows aweza nitaja mimi
Hamna lolote maa...hizo ni harakati za pimbi tukuna watu mnajua kung'ang'ania [emoji23]
kufanana nn sura au rangi kuwa muwazi malkiaMmeanza kufanana
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]amemaanisha nn baby