Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
kweli utashindwa kuwamudu baby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli utashindwa kuwamudu baby[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unaenda wapi utajikwaa bure[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hajui zipo zilizonona na zenye kukonda
Hilo la upendo ni siri ya mwanaume, hawezi kusema nampenda Sakayo zaidi ya Pendo, ukweli anaujua yeyeNa kuhusu upendo baina ya wake??
91 yearsuna umri gani mkuu samahani lkn kwa hili swali
Mmh hatariiUsitegemee msichana mmoja atakukifu mapema
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] alafu mmi nimeletaa mada tuPunguza povu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]hawawezi mtu aliyezoa mchepuko kaka hawezi kubaki njia kuu wenyewe wana msemo kila mtu na ladha yake
NENDA JUKWAA LA SIASA UONE YALIYOMOUtakuta mitandao ya kijamii mingi tu. Kama Facebook, Twitter, insta, na watu kutwa ni kutukanana tu kuchambana kukushifu viongozi wa kitaifa na mambo mengine ya hovyo kabisa. Ila kidogo humu jamii forum kuko powaa kiasi fujo siyo nyingi kama kule insta.
hahahhhhAhaaaaaaaaaaa ulivokerekaaa sasa
Usichekeeeehahahhah
yaan lee acha tu ninyamaze inaonekana unapenda hizi mambo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hujanywaaa omo ??sijatoa povu dada
Mmh nahisi labda ndio mwaka uliozaliwa huwezi kuwa na miaka hiyo91 years
OngeraaaUtakuta mitandao ya kijamii mingi tu. Kama Facebook, Twitter, insta, na watu kutwa ni kutukanana tu kuchambana kukushifu viongozi wa kitaifa na mambo mengine ya hovyo kabisa. Ila kidogo humu jamii forum kuko powaa kiasi fujo siyo nyingi kama kule insta.
halaf mm sijajiongeza nipo kawaida sana[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] alafu mmi nimeletaa mada tu
Mdogo wako kashajiongezaaa kwinginee
Mmi uko sippoo
nisicheke kwa nnUsichekeeee
Najuaa huyu unakula nae sahanii mojaauna umri gani mkuu samahani lkn kwa hili swali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Najuaa huyu unakula nae sahanii mojaa
Yasiyo halisiiikwenye maisha yangu halisi nipo hivyo mondray