Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mitandao ya kijamii ikitumika vizuri itakuwa na manufaa kwa jamii yetu na ikiendelea kutumika kama inavyotumika sasa upo uwezekano taifa letu likawa lenye kuangamia kabisa. Mungu ni mwema
 
Ila kwa sisi waislam tumeruhusiwa kuwa na wake wawili

Mada ya Leo ;nini changamoto za wake zaidi ya mmoja

Mawazo yenu
Kipato
Kuna wale wanaooa wake zaidi ya mmoja sababu tu dini inaruhusu, lakini likija suala la kipato cha kutosheleza mahitaji ya familia hizo hana.
Hii Inapelekea kuwa na watoto wenye afya duni, maradhi, na wengine hushindwa hata kuwaendeleza watoto wao kielimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom