Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,166
halaf ndio kwanza leo namuonaAmekuganda
halaf ndio kwanza leo namuonaAmekuganda
mwanaume hachungwi mondray mwache tu akahangaike siku akijua umuhimu wako atajirudisha halaf tunampokea kwa mahaba mazito wala haumfukuziWanawake kama ww ndio mnahitajika duniani
Ya kweli hayoohalaf ndio kwanza leo namuona
Utakuta mitandao ya kijamii mingi tu. Kama Facebook, Twitter, insta, na watu kutwa ni kutukanana tu kuchambana kukushifu viongozi wa kitaifa na mambo mengine ya hovyo kabisa. Ila kidogo humu jamii forum kuko powaa kiasi fujo siyo nyingi kama kule insta.Wapi imetumika vibaya mkuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dume pensi
labda kama yy ananionaga kweli tenaYa kweli hayoo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Usitegemee msichana mmoja atakukifu mapema
Wallah shunie kama una slogan hiyo in real life ur so awesomemwanaume hachungwi mondray mwache tu akahangaike siku akijua umuhimu wako atajirudisha halaf tunampokea kwa mahaba mazito wala haumfukizi
Hazitofautianiii kweliii??hongereni sana mtahangaika mabucha lkn nyama n ile ile
una umri gani mkuu samahani lkn kwa hili swaliUtakuta mitandao ya kijamii mingi tu. Kama Facebook, Twitter, insta, na watu kutwa ni kutukanana tu kuchambana kukushifu viongozi wa kitaifa na mambo mengine ya hovyo kabisa. Ila kidogo humu jamii forum kuko powaa kiasi fujo siyo nyingi kama kule insta.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Lee anataka mwingine wa 2 kama hujui
kwenye maisha yangu halisi nipo hivyo mondrayWallah shunie kama una slogan hiyo in real life ur so awesome
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ata akitaka wa3 mondray aongeze damu si yake anajua jinsi ya kuwamudu wote wafurahi
jiongezee tu babaMajaribu hayo
Mm nna mmoja
Na kuhusu upendo baina ya wake??Kipato
Kuna wale wanaooa wake zaidi ya mmoja sababu tu dini inaruhusu, lakini likija suala la kipato cha kutosheleza mahitaji ya familia hizo hana.
Hii Inapelekea kuwa na watoto wenye afya duni, maradhi, na wengine hushindwa hata kuwaendeleza watoto wao kielimu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Anasaidiwa huyo
mnajua nyie wenyewe si mnasema kuna zilizonona sijui nyingine zipoje ukweli mnaujua nyieHazitofautianiii kweliii??
AfadhaliNamuogopa livi
Ahaaaaaaaaaaa ulivokerekaaa sasakaka unasemaje