Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,266
Wabaki main roadhongereni sana mtahangaika mabucha lkn nyama n ile ile
Wabaki main roadhongereni sana mtahangaika mabucha lkn nyama n ile ile
HahahaOhooo, hukumbuki uliwahi kunikoromea na kusema wewe ni d la mbegu!!!
Shunie anapendaga dompo ...na mm huwa naonja hiyoShem
Nakupendaga bure, unatumia kinywaji gani vilee
Wapi imetumika vibaya mkuuuMitandao ya kijamii ikitumika vizuri itakuwa na manufaa kwa jamii yetu na ikiendelea kutumika kama inavyotumika sasa upo uwezekano taifa letu likawa lenye kuangamia kabisa. Mungu ni mwema
Namuogopa liviNimemfanyaje hadi aniogope?
MmmmmmmhKwetu, huyu ni dadangu wa damu ujue
Hajui zipo zilizonona na zenye kukondaNyama zimetofautiana bibie
Mbona Siku ya kuleta posa sikukuonaaKwetu, huyu ni dadangu wa damu ujue
Dume Bush☆Dume kitambi
Punguza povuata akitaka wa3 mondray aongeze damu si yake anajua jinsi ya kuwamudu wote wafurahi
hawawezi mtu aliyezoa mchepuko kaka hawezi kubaki njia kuu wenyewe wana msemo kila mtu na ladha yakeWabaki main road
Mkeweanasaidiwa nn kaka
MmhhhShunie anapendaga dompo ...na mm huwa naonja hiyo
Amekugandakaka unasemaje
Wanawake kama ww ndio mnahitajika dunianiata akitaka wa3 mondray aongeze damu si yake anajua jinsi ya kuwamudu wote wafurahi
hahahaha kwahiyo mkewe anakula njeMkewe
sawa dadaHajui zipo zilizonona na zenye kukonda
hahahhahMbona Siku ya kuleta posa sikukuonaa
HahahaShunie anapendaga dompo ...na mm huwa naonja hiyo
sijatoa povu dadaPunguza povu