Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ngoja nikufundishe kitu sakayo wangu.. naweka hapa public ili na wengine wajifunze..

Duniani kuwa watu wanaishi kwa kujadili maisha ya wenzao..

Hao watu wana maneno ya fitina na kukatisha tamaa sana..! Wapo na wala huwezi kujitenga nao katika maisha zaidi ya kutoshiriki maongezi ya tuu.

Wanaongea kwa kumaanisha japo unaweza kukuta ni utani wakati mwingine.

Pamoja na hayp yoote LIFE HAS TO CONTINUE..

sasa ili life liendelee lazima uzibe mwanya wa wewe kusikiliza maneno yao, upuuze wanachoongea, ukichukua kila jambo watakupasua kichwa bure..mwisho utachukua maamuzi mabaya watakuwa wanakucheka tena to the other side now..

So calm down, zoea utani wa makapuku wotee...lee, mondray na wengine wooote..

I love you my princess sakayo..
Sooo sweet jamani....sakayo usimuache T hata kwa utani maa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom