Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning wakùu ,ni matumaini tuko wazima kabisa wa afya na shunie anashukuru kwa Sara zenu

Ipitie link ya magazeti ya Leo


http://millardayo.com/mgmarch25/
Mie nimeamka salama shem,

Sijui wengine hali zao zikoje, natumai ni wazima wa afya. Vipi mdogo wangu amelalaje jamani???

T amka mume wangu tusali, tuianze siku mpya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom