BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Nani kakosa asemeSasa mbona watu wanakosa mapta na nyie mpo
Nani kakosa asemeSasa mbona watu wanakosa mapta na nyie mpo
DuuhUmeniwahi ujue
Rafiki yangu Snipes.Nani kakosa aseme
Atakuja hapa mwenyewe kusemaMama mchungaji hivi baba mchungaji ni nani?
Asante mama watoto ngoja na mm ntarud baadaeSina shaka nammudu huyo
Bdae kidogo dia ngoja nikupikie
OK,The truth is that i love you..
Endelea Kushangaa, ila ndo washaniharibia sikuNdòo nashangaaaaa
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Shem kipenzi wala usiwazeeJust tell me the truth
AsanteYaani niko Job!
Karibu breakfast mke wangu![]()
Tatizo shemu hatamiwiiiiJaaaamini!!
Queen kan wa liv livinus bhanaa...
UsichekeeeHahahahaha

Ngoja nikufundishe kitu sakayo wangu.. naweka hapa public ili na wengine wajifunze..Na mie nimemsikia, hivi kwa nini wengine wanapenda niumie lakini

Na wewe unachukiaa mapema hutaniwiii??Endelea Kushangaa, ila ndo washaniharibia siku
Yuko wapi saa hiiRafiki yangu Snipes.
Nasaha nzuriiiNgoja nikufundishe kitu sakayo wangu.. naweka hapa public ili na wengine wajifunze..
Duniani kuwa watu wanaishi kwa kujadili maisha ya wenzao..
Hao watu wana maneno ya fitina na kukatisha tamaa sana..! Wapo na wala huwezi kujitenga nao katika maisha zaidi ya kutoshiriki maongezi ya tuu.
Wanaongea kwa kumaanisha japo unaweza kukuta ni utani wakati mwingine.
Pamoja na hayp yoote LIFE HAS TO CONTINUE..
sasa ili life liendelee lazima uzibe mwanya wa wewe kusikiliza maneno yao, upuuze wanachoongea, ukichukua kila jambo watakupasua kichwa bure..mwisho utachukua maamuzi mabaya watakuwa wanakucheka tena to the other side now..
So calm down, zoea utani wa makapuku wotee...lee, mondray na wengine wooote..
I love you my princess sakayo..![]()
Mie sipendi utani na mashemeji bhana, hamshindwi kuzima taaTatizo shemu hatamiwiiii
Wewe ndo unasema hayo leoShem kipenzi wala usiwazee
Niliwaza hivo Jana make alikutesa sana ila ukweli alitingwa na anakupendaa sana sanaaaaaaa
KAPUKU hatufanyagiii hivoMie sipendi utani na mashemeji bhana, hamshindwi kuzima taa