Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Khaaa! Eti kuzima !Mie sipendi utani na mashemeji bhana, hamshindwi kuzima taa
Sakayo tuhame makapuku?
Khaaa! Eti kuzima !Mie sipendi utani na mashemeji bhana, hamshindwi kuzima taa
Love you more my husbandNgoja nikufundishe kitu sakayo wangu.. naweka hapa public ili na wengine wajifunze..
Duniani kuwa watu wanaishi kwa kujadili maisha ya wenzao..
Hao watu wana maneno ya fitina na kukatisha tamaa sana..! Wapo na wala huwezi kujitenga nao katika maisha zaidi ya kutoshiriki maongezi ya tuu.
Wanaongea kwa kumaanisha japo unaweza kukuta ni utani wakati mwingine.
Pamoja na hayp yoote LIFE HAS TO CONTINUE..
sasa ili life liendelee lazima uzibe mwanya wa wewe kusikiliza maneno yao, upuuze wanachoongea, ukichukua kila jambo watakupasua kichwa bure..mwisho utachukua maamuzi mabaya watakuwa wanakucheka tena to the other side now..
So calm down, zoea utani wa makapuku wotee...lee, mondray na wengine wooote..
I love you my princess sakayo..![]()
Wala sijachukia, wajistukiaa tuuNa wewe unachukiaa mapema hutaniwiii??
Siamini mtu AiseeKAPUKU hatufanyagiii hivo
Uhamie wapi labda, huku ndo kwako, pambana na changamoto na sio kuzikimbiaKhaaa! Eti kuzima !
Sakayo tuhame makapuku?
Kwa kweli leo Sijawasilisna nae niko sehemu za hovyo net yasumbua na mtandao ninao tumia huku vocha hadi mjini.Kwelii shemu
Vipi mdogo wako ??
Hahaaaaa!Uhamie wapi labda, huku ndo kwako, pambana na changamoto na sio kuzikimbia


Sakayo ananipenda bhnaa!Kwelii shemu
Vipi mdogo wako ??


Hivi unajua kuna utani unafafana na ukweli, mfano jana hukusomeka popote mtu akitania halafu ukiunganisha dots unaweza pata pichaHahaaaaa!
Basi uzoee utani![]()
TushaaaaachaaaSakayo ananipenda bhnaa!
Muache ujinga wenu sasa![]()
Pole sana ila kuwa na amaniiHivi unajua kuna utani unafafana na ukweli, mfano jana hukusomeka popote mtu akitania halafu ukiunganisha dots unaweza pata picha
HahahaTushaaaaachaaa
Nina amani teleee!!!Pole sana ila kuwa na amanii
Na ninakupenda kweeli, mpaka najionea wivu. Natamani tuishi kwenye dunia yetu wenyewe tuu asiwepo mtu wa kuyaingilia mapenzi yetu.Sakayo ananipenda bhnaa!
Muache ujinga wenu sasa![]()
I love u swt babe, i need u swt babe, nakupenda kwa dhati swt babe,hoyoooooo mpo
Nawatakia weekend njemaaa
Nawapendaje 😉😉😉😉

Ukivunjika hzo ngwara zako utafanyaje