Makapuku Forum

Amina amina kondoo wa bwana. Huduma ya kuungama ipo,ila tunachaji 10'000= kwa kila dhambi ndogo,kiwango kinapanda kulinga na ukubwa wa dhambi,utapigiwa gharama baada ya maungamo mpendwa katika bwana...Hapa ni hela tu,,,kazi kwa Ngosha.
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] sasa mi sitakuwa na hela ya kulipia hizo dhambi zangu, ngoja nimpm baba mtumishi jambilo labda atapunguza bei mana we unakaza sanaaa[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Ohoo naona mama mtumishi ananiharibia huduma, natangaza mimi natoa huduma na maombi bure, japo sadaka lazima lakin hakuna kiwango, wakorintho...imeandikwa...kila mtu na atende kwa moyo wa kupenda na si kwa kulazimishwa
 
Basi ntakuja fastaaaaaa..... Niungame tayari kwa kuanza kutenda dhambi upya
 
Nimemuona Anko Magu live
Interesting
..............
Duuu jamaniiii rahaaa umeenda siku nzuri sana, jitahidi upige nae japo selfie...... Ukishindwa kuiweka hapa nitumie hata inbobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…