Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Ni juice tu wakuu
Ni juice tu wakuu
Ngoja ntakukumbusha baadae.Yaan siikumbuki shem
Sawa shemNgoja ntakukumbusha baadae.
Mi cm haina chaji ndo natoka Kigamboni bridge kurudi home nipo K/koo nowmakapuku mupooooo????
Usiombe ukafika home ukakuta umeme hakuna, wapi selfie na uncle Magu?Mi cm haina chaji ndo natoka Kigamboni bridge kurudi home nipo K/koo now
..............
Karibu tena mkuuNimerudi wakuu.
Tupooomakapuku mupooooo????
Tupo tumejaa tele.makapuku mupooooo????
Picha c nishatupia...Usiombe ukafika home ukakuta umeme hakuna, wapi selfie na uncle Magu?
Karibu tena Mkuu.Nimerudi wakuu.
Asante naona watu wamepoteaKaribu tena mkuu
Picha c nishatupia...
Zingine ni privacy
![]()
![]()
![]()
..............
moja tu ya zaidi ulopiga na maguYani hapa ndiyo napata kifungua kinywa,si unajua shemeji yako hayupo?Karibu tena Mkuu.
Inaonekana ulikuwa unapata lunch!
Yani hapa ndiyo napata kifungua kinywa,si unajua shemeji yako hayupo?
katoroshwa tena
Aisee,huyu mwanamke ni shida.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
katoroshwa tena
![]()