Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Hahahaaaaa!Tatizo bwana mama mke ukifika kwake kazi nyingi kama nn bwana mara ukatie ng'ombe majani weiiiiii
Hahahaaaaa!Tatizo bwana mama mke ukifika kwake kazi nyingi kama nn bwana mara ukatie ng'ombe majani weiiiiii
Njema ubarikiwe Sakayo dear vipi hali yakoHivi ushakuwa Mange Kimambi au, yaani hiyo avatar yanitia hasira kweeli.
Halafu umebadilika sana.
Habarini za jioni wana familia
Karibu mdogo wangu.Hodiiiiiiiiiiii mpaka ndaniii
Njema Malkia pole vipi hali yakoZa jioni humu
Chaplin unaendeleaje mkuu?Ulitaka Mungu anipende zaidi?
Salama tu kipenzi, unaendeleaje na homa?Njema Malkia pole vipi hali yako
Nani anakuwa Hamorappa kwenye hilo tukio.?Unaham na pistol ww



Wapi shunieNzuriiii malkia
Tunaendelea vizuri Mungu yu mwemaSalama tu kipenzi, unaendeleaje na homa?
Amina kwakweli, Mungu wetu ni mwemaTunaendelea vizuri Mungu yu mwema
Anaumwaaa malkiaWapi shunie
Poleni jamani....amepata matibabu?Anaumwaaa malkia
Wazee wa series..Eti into the badlands season 2 ishatoka au ndio ushamba wangu

Mondray...!Nimepata link ya Into the bad land. Wacha niongeze GB usiku nimuvike online
Namshukuru Mungu, nimemaliza sindano leo jioni na uponi upo kwa kweli.Njema ubarikiwe Sakayo dear vipi hali yako
Aaaaaaargh!Hivi ushakuwa Mange Kimambi au, yaani hiyo avatar yanitia hasira kweeli.
Halafu umebadilika sana.
Habarini za jioni wana familia
Hahaaa wacha tu huyu jamaa ni PIMBI + KIPEPE mishe zao hazifanikiwiHahahhaaa!
Huwa mnazijua akili zenu wenyewe!