Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
ClkeyShemela wako yupi
ClkeyShemela wako yupi
Ila wanagharimikia wengine wewe unateleeeeeezaaaaaHilo si swali, yupo mikono salama lazima anawiri
Ahaaa nilidhani mwingine maana akili yako sometimes waijua ww tu shemClkey
Niii wewe tuuuuAhaaa nilidhani mwingine maana akili yako sometimes waijua ww tu shem
Haina noma mkuuu nipe masaa kadhaaMondray fanya kutafuta link ya empire season 3 episode 10
ThanksHaina noma mkuuu nipe masaa kadhaa
Tulete je wajua au tupige chiniThanks
Eti into the badlands season 2 ishatoka au ndio ushamba wanguTulete je wajua au tupige chini
Ishatoka mkuuEti into the badlands season 2 ishatoka au ndio ushamba wangu
Tuvutee baadaeeTulete je wajua au tupige chini
Yaani huku nilipo tabu tupu nashindwa kua updated, nimesanuliwa na kabinti kamoja ka home kua imetoka ila sikuamini.Ishatoka mkuu
Poa mkuuTuvutee baadaee
Hana uwezo ndio maana namwita pimbiYuko kwa emmy
Wengine kina nani?Ila wanagharimikia wengine wewe unateleeeeeezaaaaa
Shunie kakumis
Nipe namba zake atakuwa ananikumbusha prison breakYaani huku nilipo tabu tupu nashindwa kua updated, nimesanuliwa na kabinti kamoja ka home kua imetoka ila sikuamini.
Ngojaaa mwenye malii ajee mida yake hiiWengine kina nani?
Hvi adhabu ya kaburi aijuaye maiti sasa huyo mzikaji anajua humu ndani kuna mchanga wa aina gani?
Sasa nikumegee siri hili shimo tulilomo na mke wangu mchanga wake ni wa dhahabu,
But please usiongee kwa nguvu
Wwe wewe bwana acha zako yupo chuo now.Nipe namba zake atakuwa ananikumbusha prison break