Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Shemela simu imezingua aiseeee, toka jana sina ,mwambie kakaako mchana anitumie hela ya kununua nyingineBadaeee upite home uwape salamu wamekumis kweliiii![]()
![]()
![]()
Shemela simu imezingua aiseeee, toka jana sina ,mwambie kakaako mchana anitumie hela ya kununua nyingineBadaeee upite home uwape salamu wamekumis kweliiii![]()
![]()
![]()
Hakika.Hatuna namna nyingine naamini tutatoboa
ChaplinAlafyuuuuuu weeeeeweeee
Eeeeeeh kweliìi ngoja nimwambie aachee mapuuza atanyanganywaa mke bureeShemela simu imezingua aiseeee, toka jana sina ,mwambie kakaako mchana anitumie hela ya kununua nyingine
ChaplinChaplin
Hahahahaha nakuaminia shemela wanguEeeeeeh kweliìi ngoja nimwambie aachee mapuuza atanyanganywaa mke buree
Lakini ata ukichukua pikipiki sio mbali sana angalau mama mkwe akuonee arudhikeee si unajuaa anamatumaini na weweHahahahaha nakuaminia shemela wangu
Umerudi kwako
WapiiiiiiUmerudi kwako
Siendi mie akhuuuuuuLakini ata ukichukua pikipiki sio mbali sana angalau mama mkwe akuonee arudhikeee si unajuaa anamatumaini na wewe
Unajitafutiaaa kesii make niliyasikia eti hupendagii kwendaaSiendi mie akhuuuuuu
Tatizo bwana mama mke ukifika kwake kazi nyingi kama nn bwana mara ukatie ng'ombe majani weiiiiiiUnajitafutiaaa kesii make niliyasikia eti hupendagii kwendaa
Jitahid kwa Leo kwa hidhini ya shemejiiiiii
Ashaacha tabia zake za kununanuna??Tatizo bwana mama mke ukifika kwake kazi nyingi kama nn bwana mara ukatie ng'ombe majani weiiiiii
Hajaacha , ngoja akae pekee yake kwa mudaAshaacha tabia zake za kununanuna??
Hizo kazi mpaka dogo alimkimbiaa
Leo jitahid sanaHajaacha , ngoja akae pekee yake kwa muda
Guy stop follow qween kan she is mineMorning kapuku
Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kuiona Siku ya leo