Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,097
Who??Hold up they dont love like i love![]()
![]()
![]()
Who??Hold up they dont love like i love![]()
![]()
![]()
tipo tipoHiv mi namkosi nakuja kwenye woote mmezima
nangoja ugeukeWho??
Una ubuyuuuNimewamic sana humu asee
Mpigee bitii aachanee na manzi wakoGuy stop follow qween kan she is mine
Letaa ubuyu ata wa harmorapaHiv mi namkosi nakuja kwenye woote mmezima
Harmorapa anafaa kuwa mwanariadhaLetaa ubuyu ata wa harmorapa
Tuko poa za leoMko poa makapuku wenzangu?
Za leo nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaTuko poa za leo
Poleee Mungu akuponyeNajikaza tu mkuu, hali sio nzuri sana kivile ila tutatoboa tu kutoka huku ugonjwani
Njema za hukoHabari za mchana
Ubarikiwe dearZa leo nzuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaa
Amina na ww ubarikiweUbarikiwe dear
Asante mkuu Mussolin 5 uwe na siku njemq na baraka teleLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Na sasa hv hapa kwetu kipo n muhimu ukiona dalili wahi hospitali pata matibabu sahihi kifua kikuu kinapona- Ni siku ya Kifua Kikuu Duniani.
Wazima Lee pole kwa kuuguza Mungu amponye ShunieWazima wote mkuu isipokuwa my wife shunie ndo anajihisi kuumwaumwa
Pole Malkia Mungu akuponyeNaendelea vizuri...maana jana bado kidogo nipate stroke
AmenMorning kapuku
Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kuiona Siku ya leo