Makapuku Forum

Makapuku Forum

1951 - Tommy Hilfiger anazaliwa.

Ni mwanamitindo na muasisi wa kampuni ya mavazi ya Tommy Hilfiger.
25f22ec70653441a1aed962c1e1475d2.jpg
c9840bc983f001f55e949ff1d4db0039.jpg
0138b2bd0ee32b7c37dd899dbe2b08dc.jpg
 
2016 - Johan Cruyff anafariki dunia.

Staa wa zamani wa Barcelona, Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi.

Ndie mwasisi wa akademi ya La Masia pale Barcelona.

Mmoja wa wagunduzi wa Total Football.

Alikuwepo katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Uholanzi kilichofungwa fainali ya Kombe la Dunia 2-1 na mwenyeji Ujerumani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom