Makapuku Forum

Makapuku Forum

1987 - Ramires anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa ya Brazil ambaye kwasasa anakipiga katika ligi ya China.
15bef4bdc3badbeec3075702c8fe4571.jpg
5226bda223f2641d4c34906df3821f51.jpg
441ca05c5cfc1f056dfbf2e10af37117.jpg
 
2016 - Johan Cruyff anafariki dunia.

Staa wa zamani wa Barcelona, Ajax na timu ya taifa ya Uholanzi.

Ndie mwasisi wa akademi ya La Masia pale Barcelona.

Mmoja wa wagunduzi wa Total Football.

Alikuwepo katika kikosi cha Timu ya Taifa ya Uholanzi kilichofungwa fainali ya Kombe la Dunia 2-1 na mwenyeji Ujerumani.
dfdca40b8954b3160731fe14323fbe4d.jpg
ee2b53cd400b1a0e623209389ee0005d.jpg
a4c00072b050eaace7f6ac4e89fe6cd3.jpg
89b6b8a5bcfe540b3af6000402a324fb.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom