BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Hi Mondray ubarikiweMorning ma family
Brother and sister
Hope ur doing well
Hi Mondray ubarikiweMorning ma family
Brother and sister
Hope ur doing well
JiraaaaaaaaaaaniiiiiiiiHodiiiiiiiiiiii mpaka ndaniii
MkuuHabari za mchana
Asantee BHAsante kwa magazeti Mkuu Lee Barikiwa
Adjee leeMkuu
Nipo shunie wangu anaumwaaAdjee lee
Mpe pole sana mwambia tunamtakia apone harakaNipo shunie wangu anaumwaa
AmeeeeeeeeniiiiiiNaamini mnaendelea vizuri wagonjwa poleni sana Shunie,Malkia,Nyagei Mungu awape uponyaji ..nawatakia kila la heri Mungu atubariki sote amen
AMEN mama mchungajiNaamini mnaendelea vizuri wagonjwa poleni sana Shunie,Malkia,Nyagei Mungu awape uponyaji ..nawatakia kila la heri Mungu atubariki sote amen
Ila juis anakunywaaMpe pole sana mwambia tunamtakia apone haraka
Karibu hadi njeHodiiiiiiiiiiii mpaka ndaniii
Kwa Lee originalWapiiiiii
LikewiseNimewamic sana humu asee
Salama kishetiHabari za mchana
Nashukuru sana mama mchungaji now naendelea vyemaNaamini mnaendelea vizuri wagonjwa poleni sana Shunie,Malkia,Nyagei Mungu awape uponyaji ..nawatakia kila la heri Mungu atubariki sote amen
Khaaa ww bado mzima!!!!!Salama kisheti
Jiraniiiii hutembelei watu jirani, umejificha tu makapuku kuna nini huku?Jiraaaaaaaaaaaniiiiiiii