Makapuku Forum

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Shem pumzi haikati ila tuna-play kotekote ukipata chansi unachungulia huku kujua hali ya mtoto mzuuuur sana amaizing anaendeleaje pamoja na mashemeji zangu wote mnaendeleaje maana vipanga ni wengi mno...
Hakika...ukiona wanamnyemelea mpaka mama mtumishi ujue hali ni hatari kuliko inavyofikirika. Abiria chunga mzigo wako
 
falcon mombasa kama una swali lingine uliza kabisa Kabla mshana hajaenda msata na kufanya mambo yake
Sasa uwepo wa mshana hapa unaogopesha,meditation zitafanywa humu,watu watarogeka humu,nazi zitavunjwa humu,
Uzuri wa mshana jr hapa hajawahi kufurukuta, hata couple aliyowapa limbwata pia ilivunjika siku moja baadae,
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…