lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,966
Atakuja muda wa lunchI hope tutajumuika nae hapo baadae kwenye mapumziko.
Atakuja muda wa lunchI hope tutajumuika nae hapo baadae kwenye mapumziko.
Mtumish pamoja sana...Sijamuona Shem wangu leo?Hahah nyie watu hongerenii
Lizzy Shem nakusabahi..Atakuja muda wa lunch
Asante! Uko poa shem?Lizzy Shem nakusabahi..
Ila...??Hatuna roho mbaya hata kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu sanaHodiiii
Niko fit mbaya sana shem..Wacha tupambane na hii siku tuone itaishaje?Asante! Uko poa shem?
Mr wako sizzy au!Mr gani anaezungumziwa hapa?
Ahsante amaizing,una mchumba?Karibu sana
Acha tu, hachomoki prayer room hadi bathiMtumish pamoja sana...Sijamuona Shem wangu leo?
Pinda mizengo umemwona shem!Karibu sana
Unatafuta shida wewe.Ahsante amaizing,una mchumba?
Mkuu si unajua sina mchumba mimiUnatafuta shida wewe.
HapanaMr wako sizzy au!
Wewe mbuluAhsante amaizing,una mchumba?
ninakurionya/nakuonya, hivi hujui ni nke ya ntu hiyo!