Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,619
- 5,518
Naomba niwe naibu manuu
Naomba niwe naibu manuu
Sijamuona ebu nikamchekiPinda mizengo umemwona shem!
Kama una mchumba amazing unamtaka wa nini.Mkuu si unajua sina mchumba mimi
Sawa shemu kazi njemaNiko fit mbaya sana shem..Wacha tupambane na hii siku tuone itaishaje?
Kama vipi anza na cute b naona kama anatafuta soulmate.Sijapata bado,undugu kufaana,niweke popote ntakaa mimi,kwa maana nyingine nipigie kona
Unataka nimalizeje mkuu,nikupigie sounds ama vipiMaliza kabisa kaka,ntakutoa mkuu

Ee,sasa huelewi nini kaka?Unataka nimalizeje mkuu,nikupigie sounds ama vipi![]()
![]()
![]()
Nitamuweza,nipigie saundi kabisa maana mi

Me mekuonesha njia ...asa utafikaje unakoenda hiyo ni juu yako.....Nitamuweza,nipigie saundi kabisa maana mi![]()
Hiyo kazi fanya mwenyewe.Ee,sasa huelewi nini kaka?
Huyu bro hana swaga domo limejaa mate.Me mekuonesha njia ...asa utafikaje unakoenda hiyo ni juu yako.....
Mpenzi nipo mahali nimeona kuna perfum nzuri sana zile uzipendazo kati Dolce &Gabbana na Gucci ungependa nikuchukulie ipi my dear...We wacha waone vimependeza wasijue vimegharamiwa Mbulumanuu kashika vyeo vyote kuanzia rais,makamu,wazir,naibu,mbunge
Hivyo nafasi zimejaaaaaaaa
Jaribu kwingine ndugu yangu
Na wewe pia Shem wangu...Enjoy..Sawa shemu kazi njema