Nadhani wivu unawasumbua.Yaani hawa watu hawataki kabisa kukubali na kuamua kumwita Amaizing shemeji...Sijui kwa nini?
Hii bado ni tetesi
Ahsante amaizing,una mchumba?
Unatafuta shida wewe.
Wewee utakamatwa, huyo ni mke wa mtu kaa mbali.Mkuu si unajua sina mchumba mimi
Ndo nani tena huyo Mizengo?Pinda mizengo umemwona shem!
Tayari mpenzi nimeshainunua..I love you forever honey..Bby Dolce&Gabbana as usually
View attachment 340513
Shemeji unajua nin wacha mpenzi wangu ntamruhusu a-flow na yeyote anayejipendekeza hapa hadharan ampe za chembe wote tukishuudia wacha ajichanganye mwingine...Kweli shemeji inabidi ujipange vizuri maana hii vita ni kali na itazidi kuendelea.
Thanx baeTayari mpenzi nimeshainunua..I love you forever honey..
Wee mwache aje atumbuliwe.Wewe mbuluninakurionya/nakuonya, hivi hujui ni nke ya ntu hiyo!
Ni tamaa tu ndo zinazowasumbua vijana.Yaani hawa watu hawataki kabisa kukubali na kuamua kumwita Amaizing shemeji...Sijui kwa nini?
Natamani iwe kweli.Hii bado ni tetesi
Ni kweli mkuu huyu sizzya007 hana swaga.Natamani iwe kweli.
Shem wacha na mimi niseme Amen kwa maombi hayo mliokuwa nayo na baba mtumish jambilo ila tahadhar usimtaje taje huyo mtu mshana jr maana nasikia anauwezo wa kukuchukua usiku kutoka kwenye mikono ya mtumishi akakupeleka kwake mkaimba na kusifu saaaaana na asubuhi akakurudisha kwa mtumishi ukiwa hoi na nadhan itabid iwe siri yako tu na wewe mtumish hutowesha mwambia..Hatujambo shemeji....tulikuwa kwenye maombi mazito sana,si unajua taifa linahitaji uponyaji kutokana na majeraha ya kifisadi? Tunaomba pia kwa ajili ya kuokoka mshana jr .
T