sacajo
JF-Expert Member
- Jul 23, 2016
- 1,385
- 4,493
Shukrani...wazma wote humuuKaribuu
Shukrani...wazma wote humuuKaribuu
Leo katika Historia:
1944 - Ardeatine Massacre: Jeshi la Nazi la Ujerumani lafanya Mauaji ya raia 335 wa Italy huko jijini Rome.
Hiyo ni baada ya Dikteta Mussolini kufanyiwa jaribio la kupinduliwa, hivyo Hitler akatuma kikosi chake kwenda kumsaidia swahiba wake.
1976 - Rais wa Argentina Isabel Peron anapinduliwa na kutolewa madarakani.
Nchi ya Argentina inaanza utawala wa Kidikteta kwa miaka 7.
1911 - Joseph Barbera anazaliwa.
Mmoja wa maproducer wa katuni maarufu ya Tom and Jerry.
OkNamuuliza tu mkuu
Ni tight ila si sanaVp hari yako lakini
Au bado tight
KumbeeeAnanipenda tu upendo wa kawaida![]()
AmenAminaaa tumshukuru Mungu
1930 - David Dacko anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
Nimeamka salama, uwe na siku njema pia
You are loved too![]()
Na sishindwiii kweliiMchina huyo hashindwi kitu
Update your browserJamani msaada tafadhari...
Natumia Browser
Picha zinazopostiwa humu sizioni.
Magazeti sijayaona nimeona maneno tu.
Picha anazoweka bitoz sizioni naona Qoute tu