Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
75% mkuuMwanaharakati uko poa
75% mkuuMwanaharakati uko poa
Yaani mm sijaona gazeti lolote walahZipo mapema sanaa
Change gearAiseee kweli majaribu yanapatikana popote
Vp hari yako lakini75% mkuu
Pole dictator kwa kunusurika kupinduliwaLeo katika Historia:
1944 - Ardeatine Massacre: Jeshi la Nazi la Ujerumani lafanya Mauaji ya raia 335 wa Italy huko jijini Rome.
Hiyo ni baada ya Dikteta Mussolini kufanyiwa jaribio la kupinduliwa, hivyo Hitler akatuma kikosi chake kwenda kumsaidia swahiba wake.
Aminaaa tumshukuru MunguKiasi chake mkuu
Change gear

Hongera harakatizako zako zilizaa matundaHope dear umeamka salama
Uwe na siku njema kipenzi
Love u my queen
KaribuuHodii
Cheki vizuriiiYaani mm sijaona gazeti lolote walah
Pole SanaNaendelea vizuri...maana jana bado kidogo nipate stroke
Ananipenda tu upendo wa kawaidaHongera harakatizako zako zilizaa matunda

Namuuliza tu mkuuChange gear
1944 - Wafungwa wa kivita 76 wanafanikiwa kutoroka katika gereza la Stalag Luft III huko Ujerumani.
Mkasa huo wa kutoroka kwa mateka / wafungwa hao wa Kiingereza na Kifaransa ulikuja kuigizwa katika filamu iliyoitwa The Great Escape.
Nimeshacheki naona maneno tu.Cheki vizuriii