Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Back off Amigo. Wasukuma wawili my foot. Mlaumuni Kikwete na uzembe wenu wa ku-focus na mambo ya muhimu. Umbea tu na hakuna kukazania mambo yanayohusu uhai wa taifa. Wakati ule mngegangamara mngepata katiba mpya ambayo ingepunguza madaraka ya rais na kuweka mambo mengi tu sawa. Badala yake Mkwere akawachekea weeee katiba ile nzuri kabisa hata haijulikani iko wapi. Wakati huo huo ameruhusu uhuru wa habari lakini anapitisha sheria ya makosa ya mtandao. Mambo mawili haya yangepingwa kwa nguvu zote pengine leo hii tungekuwa kivingine sana na naamini uchaguzi uliopita ungefanyika katika tume huru ya uchaguzi na mazingira tofauti kabisa ya kisiasa.Mababu zetu wipigania uhuru kutoka kwa wakoloni wa kizungu na kiarabu...
Wajukuu zao tumeshindwa kupigania uhuru kutoka kwa Wasukuma wawili
![]()
![]()
![]()
......
Panua wigo wako wa kutazama mambo na uki-focus kwenye kabila hutafika popote. Katiba ile mpya inahitajika sana na hili ndo liwe ajenda kubwa ya kila mtu otherwise hata aje malaika kutawala sidhani kama kutakuwa na mabadiliko ya maana katika mfumo wetu wa kiutawala.

