Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,095
Saizi wako kimyaa woote mana wote tuko home hamna ajira wala tempoHizo story zilikuwa zinachekeshaa
Saizi wako kimyaa woote mana wote tuko home hamna ajira wala tempoHizo story zilikuwa zinachekeshaa
Awww
....will miss you more, uwe na siku njema pia![]()
You are welcomeTake care dear maana naona vijana humu wanakuja kwa kasi ya ajabu
🙂
Thanks dear
Uko poa lakiniNambie jembe
How was e day,?You are welcome
Mkuu uko poa??Hello guyz
Asante sana soulmate!Morning too my husband!!!
I know how much you love me![]()
Karibu chai mume wa Sakayo, mboni yangu mie, roho ya Princess Sakayo, it's teatime
It was soo rough&sad![]()
Yeah, time will heal everything....poole piaI know the same 2 me but time is a limit let's wait
Niko poa ndugu yangu livi, leta habariMkuu uko poa??
Shwari kabisa.Uko poa lakini
Sijawahi kuipenda CCM
Hiyo kadi nilipewa tu na Katibu wa UVCCM tawi la chuo sababu tulikuwa tunakaa gheto moja...hivyo km best yake niliamua kumpunguzia "mzigo"
......
mkuu twiko pamoja

Bora.....sisi chuo walikua wanatudanganya eti ukiwa na kadi ukimaliza chuo unapangiwa kazi mjini, nikawaambia ntaenda kufundisha kijijini
MmmmhAsante sana soulmate!
Leo siku imekaa kushoto sana!
Nimekunywa wine saa 4 badala ya chai...
Sasa hivi nataka nimpitie Bitoz tukanywe tikila tuu...
Am real bored with how Nape has been treated..!
Sioo kwemaaMakapuku ni gani humu?
No my love...Mmmmh
Pole sana, Wala usijali nalo litapita tuu!!
Hivi hiyo ndo sababu ya kunisusia kuanzia chai, lunch hadi dinner kweli??!
Aiiiseeeh poleni sanaSioo kwemaa