Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafakari ya usiku
b7915a9d26ab8d2fa1b7f773c8b3cdc7.jpg


Nawatakieni usiku mwema watoto wa Mungu, malaika wakawalindeni dhidi ya mwovu shetani....... Amen.

Emmyta I miss you
Amen ubarikiwe ahadi za Mungu ni kweli na hakika ,hawezi kutuacha kamwe...
 
Pole mkuu
Pole ya nini mkuu? Kama una hoja ya kukinza hoja yangu hapo juu itoe tu mkuu. Binafsi huwa sipendi generalizations. Eti kwa vile umekutana na mwanamke mmoja akakufanyia vituko basi unalaumu wanawake wote. Mchaga mjanja amekuingiza mjini sasa inakuwa Wachaga wote matapeli. Hoja za aina hii mara nyingi ni myopic na zinaonyesha ukosefu wa umakinifu mkubwa na ukiangalia vizuri ni ukwepaji wa kuliangalia tatizo katika kiini chake. Ni hayo tu mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom