Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Dada ata sijielewi naumwa umwa nimekuja kumsalimia baby mara moja nimemmiss tu
vipi hali yako unaendeleaje
whaaaat
Dada ata sijielewi naumwa umwa nimekuja kumsalimia baby mara moja nimemmiss tu
vipi hali yako unaendeleaje
whaaaat
Swtypole sana
pole sana dada acha tu nafkilia hapa kwenda hospital niombee na mm nakuombeaJamaniiii mdogo wangu, pole mnoo.
Mie nimezidi kuumwa baada ya kusikia na wewe ni mgonjwa
mwambie Shunie aanze kujibuSnipes & Shunie majina yenu yananichanganyaa
Au ninyi ni mapacha
MpozeNimemuona ana huzuni ngoja nimuache apoepoe nina mazur nataka nimwambie qeen
Shelema mambopole sana
Hivi kweli hujui anaumwa shem au ni utani wako![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
whaaaat
Nikisoma shunie ninadhan ni snipesmwambie Shunie aanze kujibu
Mkuu Sara zenu ,Aaaa! Kumbeee! Watu wamekesha jana koooote
Livi livinus ndo yuko na mtoto kutoka Mumbai...
Zenu
BabyHivi kweli hujui anaumwa shem au ni utani wako
Daaaahpole sana dada acha tu nafkilia hapa kwenda hospital niombee na mm nakuombea
Niachie livi wangu, usimfundishe tabia zenu
HubbyBaby
Naona joto la mwili wako linashuka now..
Pole mama..ngoja nikupeleke hospital..
Kwemaaaaiseeee ndugu zangu mpooo???
Sijui shemu ndo nilitaaka nikupm unambie tatzoHivi kweli hujui anaumwa shem au ni utani wako
MmmmmmhDaaaah
Lee ndo akubebe mgongoni sasa akupeleke.
Nini zaidi mdogo wangu jamani, mbona wapenda kunipa pressure dadako
jambo jemaaaKwemaaa
poa shemelaShelema mambo