Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwani tupo watatu [emoji102] [emoji102]
Yaani huku Makapuku kuna uhaba mkubwa wa mabinti. Imagine kuna Queen Kan, Shunie na mwingine sijui nani. Na karibu wote wanadai wana watu wao. Sasa sisi makapuku wengine tufanyeje? Ndiyo maana huko nyuma niliwahi kushauri tujaribu hata POLYANDRY liwalo na liwe...
 
Yaani huku Makapuku kuna uhaba mkubwa wa mabinti. Imagine kuna Queen Kan, Shunie na mwingine sijui nani. Na karibu wote wanadai wana watu wao. Sasa sisi makapuku wengine tufanyeje? Ndiyo maana huko nyuma nikashauri tujaribu hapa POLYANDRY liwalo na liwe...
si muende mmu mkatafute wenu muwalete huku kapuku
 
Back
Top Bottom