Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,009
- 150,543
Wee si umeagaa[emoji7] [emoji7] mambo
Wee si umeagaa[emoji7] [emoji7] mambo
AhaAaaàaaaah kumbe kisa wachacheKuna manzi moto nimemzimikia ile mbaya niko tayari kumpeleka hata Koromije kabisa. Bahati mbaya (au pengine nzuri) kuna njemba imemkamata na inamchunga balaa. Sijakata tamaa na nipo nimegangamara mpaka kieleweke.
Statistically tunaambiwa eti wanawake ni wengi kuliko sisi madume ila hapa JF na hasa huku kwa makapuku, mamanzi ni wachache sana ndo maana inabidi tugombanie tu kwa sababu hakuna namna!
Hatarii![]()
Bush Stars
...
Karibu japo na utani ni sehemu ya maisha yetuHahahaaaa nitakuwa nakuja kwenye huu uzi kunavitu vizuri kwaajili ya kuongeza maarifaa.
Weee jamaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] usubiri utalinda goli[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanawake ni wengi sana mkuu shimba ilitakiwa wao ndo watugombanie sisi mi nakaa pembeni adi nifatwe mkuu
Maswala ya kuanza kuchimbiana dawa kisa madem mi staki saa hii
TukesheeMkuu hapana sijachoka nipo ngangari
Tunakesha ad nipateTukeshee
Upate niniTunakesha ad nipate
umenimiss eenh uvuruge wanguShem nawe hutaniwiii
Angelikuwa shunie angelisema unapanic mapema
Bora iweivo mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] unakuta unatongoza adi machozi ndo kwanza anasoma na gazeti na kasimu ka smart anachati anaangalia comment za jf anacheka na akuangalii usoni .. .Weee jamaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] usubiri utalinda goli
hachepuki lee wangu halaf huko bagamoyo sina hata ndgUtakuwa umemuaga kuwa unakwenda kumsalimia shangazi yako Bagamoyo. Si ajabu naye huko home ulikomwacha atakuwa bize anachepuka. Ohooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] hamsha popoUsiku mwema mnaolala.....sisi tuko macho mida ya wanga
HahahhhhOoh mrembo unasauti nzur wewe
Hatulali shemeji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23] hamsha popo
hivi nilikwambia nn lakinAhaaaaaaaah
Mkuuu huyo komaa naee
Jamani shem mbona unancheka sasaHahahhhh
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Karibu japo na utani ni sehemu ya maisha yetu