Makapuku Forum

Makapuku oyeee

Ukweli nikwamba kapuku yoyote anaruhusiwa kiingia jukwaa hili la makapuku forums[b/] hivo basi kama we ni tajir ulipo ingilia ndio utakapo tokea.

Makapuku oyeee
Mkuu Be humble..

Hii forum haina maana ya makapuku kuwa watu wasio na uwezo wa kifedha... no..

Kuelewa maana ya makapuku na lengo la hii forum rudi post # 5 mwanzono kabisa mwa uzi.

Kuwa mtaratibu tuu utaelewa maana ya huu uzi ma watu wanafanya vipi humu..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…