Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Milele aminaaaiache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyewe
Milele aminaaaiache siipendi kila mtu atumie nguvu yake mwenyewe
Achaga unangaWewe acha tuu....
Niko ghorofa ya 13 hapa..
Wote wapelekwe sasa. Hapa kazi tuBwana prince![]()
Nimeshahairisha...!Hahahhhh unataka kujiua ghorofa ya ngp tuje tukuone ukijirusha
Unasemajee mamyhuyo mtu akaoge maji ya bahari tume inaongea hapa aliikimbia ofisini kwake mwaka wake huu
Na wewe una mdababy wako yupo humu
Huyo mgeni ametisha...baby wako yupo humu
Ahaaaaaaaaah shuny kawa baby??Mh! Babu we mbona hivyo
Hahaha, basi Mimi sina msaada tenaKule huwezi mtoa...anaacha vipi mashosti zake..![]()
Usiondoke barafu wanguNimekuja mama!
ShindwaaKaenda kujiuaa
Nape na kikosi chake wamemwaga ugaliWote wapelekwe sasa. Hapa kazi tu
Nakunywaga redbullJibu zuri sana nakununulia novida
Hebu nijuze kidogoNape na kikosi chake wamemwaga ugali
WooowI am back...
Nimerudi mama..! Ngoja nikusaidie kuweka chakula mezani..
![]()
I am fine ma'am, how about you??Hello how are you?stay Blessed
Hahaha, ubarikiwe Sanaa mama pastorWapendwa naamini mko salama naomba Mungu anyooshe mapito yetu atupe amani furaha na upendo atuondolee magonjwa na changamoto ambazo zinaturudisha nyuma MAKAPUKU tubarikiwe na siku iwe njema .
hapa hakuna cha babu wala bibi ukiingia humu kapuku lazima uulizwe tujueMh! Babu we mbona hivyo