Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nakosa mambo mkuuNape na kikosi chake wamemwaga ugali
Nakosa mambo mkuuNape na kikosi chake wamemwaga ugali
uiacheMilele aminaaa
HahahaLeo nimeelewa kwanini watu wanajirushaga juu ya ghorofa
Hiyo hupatiiNakunywaga redbull
Anatania tuuLee anapenda sana kusikia nimekufa.
Mkijua halafuhapa hakuna cha babu wala bibi ukiingia humu kapuku lazima uulizwe tujue
Hahahahahapa hakuna cha babu wala bibi ukiingia humu kapuku lazima uulizwe tujue
HubbyWewe acha tuu....
Niko ghorofa ya 13 hapa..
Hiyo roho umegoogle au ni yakoHahahhhh unataka kujiua ghorofa ya ngp tuje tukuone ukijirusha
siwezi kuelezea baby ila nitaeleza kwa ufupi kamati ilienda ofisini kwa mkuu wa mkoa wakaambiwa ana mgeni alivyotoka wakaambiwa waende kufika mkuu wa mkoa kawakimbia kwa mlango wa nyumaUnasemajee mamy
Nipe muhtasari
hahhahahhHuyo mgeni ametisha...
Comment mbili tuu ameshapata na baby kabisa..
babu huyo n keAhaaaaaaaaah shuny kawa baby??
Wewe muombe radhi
Hahahahumu kapuku
tehNakunywaga redbull
hahahhh kamati ipiKashambatizaa baby ...babu
Ngoja kamati ije
Niiteni mm niwarusheHahaha
Love you, tutajirusha wote tukiwa tumekumbatiana

Umejuaje ni mbili wanguHuyo mgeni ametisha...
Comment mbili tuu ameshapata na baby kabisa..
hamna kawaida tuHahahaha
You are so rude madam