Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,302
- 9,095
My heart is brokenUnajiongezaa pengine we njoo kwa obe

My heart is brokenUnajiongezaa pengine we njoo kwa obe

urafiki utaishaWamechafukwa sana.
Inawezekana vipi rafiki yako aje kwako usiku kisha aingie chumbani kwako bila ruhusa Utamfanyaje?
Nafurahi umeelewa vyema bila kibokourafiki utaisha
Shukrani sana MkuuAsante kwq historia mkuu Mussolin5 ubarikiwe uwe na siku njema.
Nitake radhi shemelaKwani wewe ni brother ??
Mmmmhye ameshakunywa asbh dada kabla hajaondoka
sante mama mchungaji ubarikiwe na ww piaWapendwa naamini mko salama naomba Mungu anyooshe mapito yetu atupe amani furaha na upendo atuondolee magonjwa na changamoto ambazo zinaturudisha nyuma MAKAPUKU tubarikiwe na siku iwe njema .
AMENI Kapuku mwenzetu na ww piaWapendwa naamini mko salama naomba Mungu anyooshe mapito yetu atupe amani furaha na upendo atuondolee magonjwa na changamoto ambazo zinaturudisha nyuma MAKAPUKU tubarikiwe na siku iwe njema .
Kuna mtu haipendi katuni hiyo kweli?Nawapenda sana Tom and Jerry
HahahaHahahaa! Unanionea donge eeh?
Kila mtu kazaliwa tofauti mkuu!
Shunie ni shunie na sakayo ni sakayo
sitakuangusha dada unanijua mmMmmmh
Mdogo wangu, utaniangusha ujue
Mdogo wanguDada itabidi tu akae na yy bila mke mpk asubili kufwa
Kafanyanye tena ShemMdogo wako
Shunie
HahahaKama hizi:
Ni gani arfu?
Uko mukide chalii?
Ni full -mzuka eroo!
Nina arosto na weed kinyamaaa!
Acha mambo zako za old-skuli basi arifu..
Tafuta kibunda eroo acha kuleta shazi..
Mimi sianyi bamzi yaani! Hebu nitoe korocksi ya 400 hapo chaap..
chuga slangs kwa hisani ya emmyta

ndio dada si wa kurithishwa hamnaMdogo wangu
shem wako haujamzoea tuKafanyanye tena Shem
Na kweli sinaga utanihahaha sakayo namjua
hahahahh nalijua hiloNa kweli sinaga utani
Really!!!?Ooooh! No
Yaani kama ni kufa bora tufe wote tuu...! I can't breath alone..